Wapi naweza pata laser pointer na breadboard?

Sahir Punzy

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
86
Reaction score
55
Naitaji kwa kufanyia majaribio ya ya ulinzi wa ghetto langu.
 

Attachments

  • laser.jpg
    8.2 KB · Views: 183
  • breadbo.jpg
    9.2 KB · Views: 106
Mkuu,breadboard unahitaji ya tie-points ngapi? Laser pointer ziko kwenye baadhi ya tochi za Mchina. Lakini kama wahitaji discrete components pia, sema idadi unayohitaji na rangi.
 
Hata mimi nahitaji hiyo breadboard..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…