ndugu... Tatizo nimeongea na mahost wa bongo wanataka 15000/= Kwa mwezi, sasa huu si ulanguzi? Na hiyo 10$ Si kubwa ila payment method ndo imenizingua. Na utapeli mbele umekuwa mwingi
Unajua exchange rate? Dola moja ni zaid ya buku jero huoni dola 10 imezidi 15,000
Kama 15,000 kwa mwezi inainclude hosting sio mbaya. Ila kwa vile ulisema hosting unayo basi fungua account ya PayPal lipia domain name mwenyewe (namecheap.com, http://www.dynadot.com) kisha unaweza kuielekeza domain hiyo kwenye website yako.
Pia kama hauna hosting na site yako haitegemei kuwa na traffic nyingi check https://www.nearlyfreespeech.net/ unalipia kutokana na matumizi kuanzia $0.25 kwa mwezi.
nielekeze wapi wanaverify then vcc tutatafuta tuMbona inawezekana kabisa kupata buree kutokutoa ata centi angalia hii nimetegeneza just 40 min ipo up and runin :lol:
e2themiza | Domain name ya buree
sasa e2themiza nimeenda kwenye hio website nimeona wanatoa domain only free for one year then unaanza kulipia.
Huoni kwamba jamaa wanataka upandishe rank hizo domain zao and then badae watazichukua? Imagine after a year website imekua maarufu wanakuambia dola 100 kurenew hela huna na website ina pagerank google kama 5 hivi utafanya nini
Then nkuulize kitu Wanakupa full control ya dns na cpanel? Or just jina tu?
Mbona inawezekana kabisa kupata buree kutokutoa ata centi angalia hii nimetegeneza just 40 min ipo up and runin :lol:
e2themiza | Domain name ya buree
za bure zipo mkuu, lakini kwanini bure?
za bure zipo mkuu, lakini kwanini bure?
sasa hapo kunatatizo moja tu. Dola 10 Kwa mwaka au tsh15000 kwa mwezi ipi bora?
15,000 kwa mwezi ni hosting na domain, $10 kwa mwaka ni domain peke yake.
Kuwa na website lazima uwe na vyote viwili, ila unaweza ukanunua domain kisha ukaielekeza kwenye free hosting yako, ila itakuwa haionekani professional so kwa mfano ukienda www.biasharayangu.com kisha unapelekwa freehosting123.com: The Best Search Links on the Net haileti picha nzuri.
Thanks to Nyasiro kwa kunihelp na my new dot com domain now kaeni mkao wa kula
15,000 kwa mwezi ni hosting na domain, $10 kwa mwaka ni domain peke yake.
Kuwa na website lazima uwe na vyote viwili, ila unaweza ukanunua domain kisha ukaielekeza kwenye free hosting yako, ila itakuwa haionekani professional so kwa mfano ukienda www.biasharayangu.com kisha unapelekwa freehosting123.com: The Best Search Links on the Net haileti picha nzuri.