JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
zabure zipo ndugu, japokuwa kunamasharti ya kuweka matangazo ya Host au pop ups.. Sasa hizo sipendi... Mpaka sasa nahost domain yangu bure ila nataka badili host tu
We noma umeuliza swali then umejijibu.
Hakuna cha bure, ila $10 kwa mwaka kweli imetushinda? Tufanye mambo ya ukweli jamani, hizi host na domain za bure hazijakaa professional kabisa.
Mimi pia bado ni tatizo kwangu, nahitaji domain tu ila jinsi ya kuipata ndo ishakuwa usumbufu, mi nataka kununua kabisa
Ninawebsite Rahamix - Techology, Fun, Downloads & stories Forums ila nataka kubadili na kuifanya kuwa .com badala ya .tk
Kama unafahamu host wa bure tafadhali nisaidie link
*kama hufahamu naomba uanze kulazimisha kuwa hakuna.
Mi naweza kukupatia .com domain ya bure ila utalazimika ku-host kwenye server zetu hapa Manchester UK. Nina-offer the cheapest hosting service. With one account unaweza kuweka webiste hata 20, una web space unlimited, unlimited email accounts, unlimited FTP accounts and many more. Website yangu hii hapa: webhosting.goodytechnology.co.uk. Wasiliana namimi kupitia goodytechnology.co.uk
Hakuna cha bure, ila $10 kwa mwaka kweli imetushinda? Tufanye mambo ya ukweli jamani, hizi host na domain za bure hazijakaa professional kabisa.
ndugu... Tatizo nimeongea na mahost wa bongo wanataka 15000/= Kwa mwezi, sasa huu si ulanguzi? Na hiyo 10$ Si kubwa ila payment method ndo imenizingua. Na utapeli mbele umekuwa mwingi