AHabari. Nataka kusoma hiyo course ya AUTOCAD. Kwa sasa nipo Dar es Salaam. Wapi wanafundisha.
Naombeni mwenye kujua anijulishe.
Ahsante.
Kwa hapa dar kama ni mwenyeji nenda pale hindu mandal hospital, fuata hiyo njia kama unaizunguka hospital utafika kwenye jengo moja kubwa jipya hapox 2 utaona wamekuandikia tangazo la course ya Autocad
ardhi university walikua wanatoa haya mafunzo na nna imani mpaka leo wanatoa, nakushauri tembelea website yao uangalie...Habari. Nataka kusoma hiyo course ya AUTOCAD. Kwa sasa nipo Dar es Salaam. Wapi wanafundisha.
Naombeni mwenye kujua anijulishe.
Ahsante.