Sahivi Hali Syo nzuri kwenye upande wa madini
Especially precious na semi precious stones maana bado serikali hawajatoa permit ya export za madini.....ndomana sahv Hata uwe na mawe kwenye kuuza ni shida hakuna buyers....wengi wamerudi makwaoo wanasubiria Hali ifunguke
Unaweza kuwa na Jiwe la thamani lets say 20mln lkn ukimpata mtu sahv atakupa offer ya chini....
Kwa upande wa mawe ya makilo ndy Hali tete watu sahv wamekaa na mimawe yaoo wanapiga nayo picha tu wana subiria taratibu za serikali
Wananunuzi wengi sahv wamehamia msumbiji,malawi,madascar na Sehemu zingine
Ova