Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,108
- 10,480
Habari wanajukwaa..?
Nahitaji mifuko ya plastic ambayo ni transparent kwaajili ya kupackage bidhaa zangu,ni wapi naweza kupata mifuko hiyo kwa hapa Dar Es Salaam..!?
Mfano wa mifuko: