EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,274
- 20,876
usichoelewa nini mama anguSijakuelewa
Umesema unahitaji nini Kariakoo?usichoelewa nini mama angu
Simu za nokia za kutachiUmesema unahitaji nini Kariakoo?
OkaySimu za nokia za kutachi
jumia unanua kupitia online au mambo ya online siyataki mimi yanini kutapeliwawww.jumia.co.tz
Kila unachotaka kipo humo... Kazi kwako
saidia mama anguOkay
asee asante sana nimezukuta huko za kumiminawww.jumia.co.tz
Kila unachotaka kipo humo... Kazi kwako
"Nokia za kutouch"..umeziita kishamba sana
dada naomba namba zakoOkay
mkuu jumia hawa ni watanzania au?www.jumia.co.tz
Kila unachotaka kipo humo... Kazi kwako
mkuu nahitaji androidunata androidView attachment 1078420, window View attachment 1078421au symbianView attachment 1078422? Km ni android zipo nying tuu
basi sawaNakazia,
Jamaa mshamba kweli yan