Bigwig Member Joined Apr 29, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Oct 26, 2014 #1 Wakuu naomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata room kwa maeneo jirani na chuo cha AMUCTA(SAUT-TABORA) ani pm. Natanguliza shukran.
Wakuu naomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata room kwa maeneo jirani na chuo cha AMUCTA(SAUT-TABORA) ani pm. Natanguliza shukran.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Oct 26, 2014 #2 Ongea na wanafunzi wa mwaka wa pili na wenyeji wako pia.
Bigwig Member Joined Apr 29, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Oct 26, 2014 Thread starter #3 yani kaka ndo kwanza nimefika na kwa upelelezi nilioufanya wanasema hostel hamna kwa boys pia wenyeji ndo hata sina
yani kaka ndo kwanza nimefika na kwa upelelezi nilioufanya wanasema hostel hamna kwa boys pia wenyeji ndo hata sina
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,869 Reaction score 6,621 Oct 26, 2014 #4 Tembelea chuoni halafu uzunguke mitaa ya jirani na chuo utafute ka uswahili flani ujipatie kigheto chako utulie Kwa hapo Saut kama sikosei mitaa ya Isevya ya mwanzoni jirani na Bomba Mzinga Shule ya Msingi panakufaa
Tembelea chuoni halafu uzunguke mitaa ya jirani na chuo utafute ka uswahili flani ujipatie kigheto chako utulie Kwa hapo Saut kama sikosei mitaa ya Isevya ya mwanzoni jirani na Bomba Mzinga Shule ya Msingi panakufaa
Bigwig Member Joined Apr 29, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Oct 26, 2014 Thread starter #5 Ze Heby said: Tembelea chuoni halafu uzunguke mitaa ya jirani na chuo utafute ka uswahili flani ujipatie kigheto chako utulie Kwa hapo Saut kama sikosei mitaa ya Isevya ya mwanzoni jirani na Bomba Mzinga Shule ya Msingi panakufaa Click to expand... Nimekuelewa vyema ngoja nijaribu kufanya hivyo nashukuru sana
Ze Heby said: Tembelea chuoni halafu uzunguke mitaa ya jirani na chuo utafute ka uswahili flani ujipatie kigheto chako utulie Kwa hapo Saut kama sikosei mitaa ya Isevya ya mwanzoni jirani na Bomba Mzinga Shule ya Msingi panakufaa Click to expand... Nimekuelewa vyema ngoja nijaribu kufanya hivyo nashukuru sana
B Boko halal Senior Member Joined May 14, 2014 Posts 175 Reaction score 124 Oct 26, 2014 #6 Bigwig said: Nimekuelewa vyema ngoja nijaribu kufanya hivyo nashukuru sana Click to expand... Ni pm namba yako ya simu nikupeleke kwenye vyumba.
Bigwig said: Nimekuelewa vyema ngoja nijaribu kufanya hivyo nashukuru sana Click to expand... Ni pm namba yako ya simu nikupeleke kwenye vyumba.
J janeth mnanka New Member Joined Oct 20, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Oct 26, 2014 #7 Habari zenu naombeni mnijibu swali langu kwa yoyote analolifahamu limitation of financial intermediaries
Habari zenu naombeni mnijibu swali langu kwa yoyote analolifahamu limitation of financial intermediaries
B Boko halal Senior Member Joined May 14, 2014 Posts 175 Reaction score 124 Oct 26, 2014 #8 Upo chuo gani janeth mnanka. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
moe junior JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 947 Oct 26, 2014 #9 kama hujapata nicheki jwa namba 0652112026 ntakuelekeza vizur!! vyumba vya uhakika na vinapatikana isevya kwa experience yangu ya miaka mitatu niliyosoma hapo AMUCTA....
kama hujapata nicheki jwa namba 0652112026 ntakuelekeza vizur!! vyumba vya uhakika na vinapatikana isevya kwa experience yangu ya miaka mitatu niliyosoma hapo AMUCTA....
U umla JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 1,166 Reaction score 558 Oct 26, 2014 #10 Njoo bachu ninavyo vingi tuu