Huu ndio ushauri kuntu.......ila kama unaona simu bora kuliko njaa,kula simu yako!mm nataka mkopo we unaniletea kejeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!duh.Huu ndio ushauri kuntu.......ila kama unaona simu bora kuliko njaa,kula simu yako!
Hana sifa za kukopa timiza wala m-pawa. Ukute analo deni "tafadhali nipigie".Airtel,TIMIZA.