Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

Status
Not open for further replies.
Nenda EFL wako Sinza. Au njoo nikupeleke.
 
Wakopeshaji wanapiga simu kama vichaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale wanaokupigia simu alfajiri kabla ya tarehe ya malipo?

Nimeshawablock na siwalipi matapeli wakubwa.
 
Reactions: EEX
Laki ingekuwa ndogo maslay quuen wasingekuwa wanaliwa uroda kwa dau la 50,000/=

Laki iheshimiwe jamani, si swala dogo kihivyo.
 
Hapo kwenye bondi ndio changamoto maana wamenikombea hadi vile vichache nilivyokuwa navyo, ila ni muajiriwa na mtu anaweza kuja hadi ninapofanyia kazi na nikampa na vithibitisho vingine.

Kiasi ni laki 1 tu, riba ataniambia yeye. Narudisha tar 25
Unakunywa pombe?
 
Njoo bunju huku kama kuna kampuni inaitwa oyaa nayo ni kausha damu unapata mkopo fasta hayo mengine mtapambana nayo wenyewe mana wanajua kudai balaa
 
Laki mbona sio kubwa? Huna ndugu au rafiki wa karibu akuazime?

Wafanyakazi wenzio?

Simu unayotumia haifai kuuza ili ukatatua shida zako kwa muda?
Kung'oa jino ni suluhisho ya jino kupona?
 
Sasa ukinunua si wataiba Tena? Ni dar sehemu Gani?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kung'oa jino ni suluhisho ya jino kupona?
Hana hata ndugu kweli au marafiki??? Hadi kuja kuomba humu kwa watu asiowafahamu hata kwa majina yao
Anaishi community gani asione hata financial services? Nikimpa suluhisho lililopo mkoa/nchini kwangu atafikaje na yupo huko
 
Wapi nimekuomba hela? Mimi nimeuliza taasisi zinazotoa mikopo. Kama ingekuwa ni kosa kuchukua mkopo basi hizo sehemu zisingekuwepo, kila mtu angekuwa akipata changamoto anaomba kwa marafiki kama unavyosema.
 
Hana hata ndugu kweli au marafiki??? Hadi kuja kuomba humu kwa watu asiowafahamu hata kwa majina yao
Anaishi community gani asione hata financial services? Nikimpa suluhisho lililopo mkoa/nchini kwangu atafikaje na yupo huko
Mwanamke hapendezi kuchangia changamoto za kiuchumi za mwanaume, mwanamke ukiwa na shida na pesa kupata unaamua mwenyewe tu kitonga.

Uzi huu wamkandie mtoa mada wanaume tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…