Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

Status
Not open for further replies.
Wadau habari,

Hali imekuwa mbaya kiuchumi nimepata emergency, wapi naweza kupata wanaokopesha hao wanaita kausha damu nikope kwa riba hadi mwisho wa mwezi tu.
Wezi wamenikombea vitu ndani nimebaki mweupe, hata mtu binafsi kama anaweza kunisaidia.
Asanteni, nipo dar.
Pole sana rafiki , kweli laki moja unadharirika hivi na wote hakuna anayekusaidia ?

Dah natamani kukukopesha hiyo hela ila sasa nitaipataje nikihitaji .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Laki mbona sio kubwa? Huna ndugu au rafiki wa karibu akuazime?
Wafanyakazi wenzio?
Simu unayotumia haifai kuuza ili ukatatua shida zako kwa muda?
Hii kauli watu wengi wanaipenda sana, kwamba uza simu unayotumia upate hela. Guys maisha tuliyopo sasa, simu inanafasi kubwa ya kukuingizia hela kuliko elimu mtu aliyosomea. So kuliko kumpa mtu simple answers, ni heri mkaupita Uzi kimya kimya.

Laki yawezekana ukaiona ndogo sana, lakini ni kubwa kuliko unavyofikiria
 
Kimfaacho mtu chake.......hadi amefikia hatua ya kuleta uzi hapa means ameshindwa kutumia hiyo simu yake kupata pesa....unless simu yake ni chakavu haiuziki
 
Sure mzee niliuzaga simu ili nianzishe biashara ya vitenge nikatapeliwa na mtu iliniuma sana
 
Kimfaacho mtu chake.......hadi amefikia hatua ya kuleta uzi hapa means ameshindwa kutumia hiyo simu yake kupata pesa....unless simu yake ni chakavu haiuziki
Mpaka anafikia hatua ya kuazima hela kwa strangers, means hiyo option unayoisema alishaiona.....let's assume simu inampa deals za kila siku, na kumuwezesha kuingiza hela ndogo ndogo, lakini haiwezi kumpa laki ya mkupuo or else ni chakavu sana haiwezi kuuzika
 
Laki moja umekosa wa kukopa hapo ofisini wala mtaani pako? Wewe ni tapeli au mdhulumaji
Tatizo ni kwamba, we are judging others based on our standards, and not their standards.

Kwako laki ni ndogo sana, that's why Unahisi jamaa ni tapeli. Anaweza akawa kweli kwenye matatizo au la, but mkuu usiichukulie poa laki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom