Wapi naweza kupata kiwanja cha mil.2 Dar?

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?
 
Hiyo ndo akili mdogo wangu .. nenda goba... au kule bagamoyo... mji unakweda kule... mimi wakati nanunua bunju nilichekwa sana na vijana wenzangu wa kinondoni... leo wanajuta bunju imekuwa town... piga hesabu kijijini kwenu na dar na bagomoyo na dar wapi mbali?,, wasikuvunje moyo wajinga humu.... maana wengine wanapenda mtu uulizie clubs
 
Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?

Nyie si mlisha ambiwa kujenga nyumba ni uoga wa maisha, bado hamsikii tu?
 
Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?

Nusu eka unaijua lakini?

Dar ea Salaam nusu eka ukikuta inauzwa kwa bei hiyo ni very suspicious.

Bei hiyo tafuta vile vya 20 kwa 20 utapata.
 
Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?

Kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka kwa shilingi milioni mbili Dar? Unamaanisha DAR ES SALAAM au DAREDA ile ya MANYARA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom