Kumwekwa mtoto kwenye bagi mkuuKwa matumizi gani mkuu? Kama ni kwa ajili ya kufunga kwenye chombo cha moto au kumwekea mtu/ mtoto kwenye bag la shule kwa ajili ya kumtrack nk.
Kama unaweza agiza kupitia kikuu utapata kwa bei rahisi kidogo.Kumwekwa mtoto kwenye bagi mkuu