Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Mkuu Nenda Kariakoo Kuna Mtaa Unaitwa Agrey Nahisi Hapo Kuna Maduka Kibao ya hizo karatasi utakuta wengine wanachukua kwa Fuso hapo kwenda Mikoani jina la Mtaa Sijakariri ila pale Mtaa wa Uhuru kwenye ile barabara wanayouza Laptop we Kunja Upande wa Kulia utakutana na Maduka hayo Mengi sana.Wakuu salaam,
Natarajia kuanza biashara ya kuuza limu , hasa zile za A4 , huku mikoani zinasumbua kidogo.
Naomba anayefahamu wapi karatasi hizi zinauzwa kwa bei nafuu aniambie hasa DAR
Asanteni.
Asante sana mkuuMkuu Nenda Kariakoo Kuna Mtaa Unaitwa Agrey Nahisi Hapo Kuna Maduka Kibao ya hizo karatasi utakuta wengine wanachukua kwa Fuso hapo kwenda Mikoani jina la Mtaa Sijakariri ila pale Mtaa wa Uhuru kwenye ile barabara wanayouza Laptop we Kunja Upande wa Kulia utakutana na Maduka hayo Mengi sana.
Mkuu Nenda Kariakoo Kuna Mtaa Unaitwa livingstone Nahisi Hapo Kuna Maduka Kibao ya hizo karatasi utakuta wengine wanachukua kwa Fuso hapo kwenda Mikoani jina la Mtaa Sijakariri ila pale Mtaa wa Uhuru kwenye ile barabara wanayouza Laptop we Kunja Upande wa Kulia utakutana na Maduka hayo Mengi sana.
Mtaa wa Kipata na Sikukuu. Kuna maduka ya stationery kwa JUMLA.Mkuu Nenda Kariakoo Kuna Mtaa Unaitwa Agrey Nahisi Hapo Kuna Maduka Kibao ya hizo karatasi utakuta wengine wanachukua kwa Fuso hapo kwenda Mikoani jina la Mtaa Sijakariri ila pale Mtaa wa Uhuru kwenye ile barabara wanayouza Laptop we Kunja Upande wa Kulia utakutana na Maduka hayo Mengi sana.
Asante boss wangu, Mungu akubariki kwenye shughuli zako.Mtaa wa Kipata na Sikukuu. Kuna maduka ya stationery kwa JUMLA.
huo ni mtaa kongo na uhuru au direction nzuri mtaa kongo na kipata aende hapo ndo mwisho wa matatizo agrey atauziwa bei juuMkuu Nenda Kariakoo Kuna Mtaa Unaitwa Agrey Nahisi Hapo Kuna Maduka Kibao ya hizo karatasi utakuta wengine wanachukua kwa Fuso hapo kwenda Mikoani jina la Mtaa Sijakariri ila pale Mtaa wa Uhuru kwenye ile barabara wanayouza Laptop we Kunja Upande wa Kulia utakutana na Maduka hayo Mengi sana.
ni pm kaka niko msambazi na lindi.nitakupa msaada kwa wauzaji wa jumla. yaani mzigo wa storeWakuu salaam,
Natarajia kuanza biashara ya kuuza limu , hasa zile za A4 , huku mikoani zinasumbua kidogo.
Naomba anayefahamu wapi karatasi hizi zinauzwa kwa bei nafuu aniambie hasa DAR
Asanteni.
Atubariki SOTE..Asante boss wangu, Mungu akubariki kwenye shughuli zako.
Pamoja sana dada yangu, nitakuja town siyo mda mrefu nichukue mzigo.huo ni mtaa kongo na uhuru au direction nzuri mtaa kongo na kipata aende hapo ndo mwisho wa matatizo agrey atauziwa bei juu
ukija dar tafuta MTAA KONGO NA UHURU pandisha juu kama unaenda mtaa KIPATA hapo ndo mwisho matakataka yote ya stationary bei poa sanaa pamoja na hizo RIM
Yaaa baada ya kuona siyo Agrey nikamletea hiyo Ramanihuo ni mtaa kongo na uhuru au direction nzuri mtaa kongo na kipata aende hapo ndo mwisho wa matatizo agrey atauziwa bei juu
ukija dar tafuta MTAA KONGO NA UHURU pandisha juu kama unaenda mtaa KIPATA hapo ndo mwisho matakataka yote ya stationary bei poa sanaa pamoja na hizo RIM