rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,601
- 8,965
Mkojo wa mbweha uliuonja wapi mkuuGame usiwaamini, hawana pombe ya maana wale. Juzi nilinunua katoni ya Windhoeck ladha kama mkojo wa mbweha puuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku nakwambia bhangi hazikufai lakini husikii tuDogo jikite kwenye mada iliyopo jamvini acha porojo.
Sauh'waa?!
Ndo maana huwa napata kigugumizi kununua baadhi ya vitu mitaani kwa mangi, ujanja ujanja mwingi...Yaani bongo kwa vitu feki tupo vizuri..juzi nimenunua maji feki ya hill,just imagine
Lumumba ccm kwenye ofisi ya polepoleWadau naambiwa huku mtaani baadhi ya Watanzania wamekuwa wabunifu sana. Wameanza kutengeneza kinywaji hicho chenye Heshima na hadhi kubwa kwa njia za kienyeji.
Kwa Wazoefu hebu tupeni taarifa sahihi kuhusu uvumi huu. Ni Wapi tutapata kinywaji halisi na pia Ni jinsi gani ya kutambua halisi.
Kwa kuwa nchi inapitia kipindi kigumu Cha uchumi basi raia ndo wanywe gogo na matapu tapu?Hey dude there is so much affordable local brew at your disposal scattered why kushadadadia vitu vilivyo nje ya uwezo wenu when our nation is passing hard economic times?
Huo muda wa kuuliza nakutafta Jack Daniels mnautoa wapi?
Fanyeni kazi!
Kama Mohan hawana siku hizi, basi ujue kweli imechakachuliwa.Kuna siku nimeenda pale mohan o'bey wakasema hawauizi hiyo product. Yule mhindi nkamuuliza kwa nini alikuwa mkali tu hatoi jibu la maana
πππππJamaa yangu sisi sio kama wewe mpenda mteremko, umeenda ulaya kufuata mteremko na kufaidi matunda ya mababu wa wenzio kudadeki, njoo huku tuwajengee wajukuu taifa na sio kutegemea mteremko..
Unakaa ulaya unaungaunga tu umri unaenda, wenzio tunalima maharage huku na kuuza huko huko ulaya tunaajili mpaka hao wazungu unaowapigia deki huko..
Kuna kinywaji ukinywa hata kiingereza kinanyoka kama native, hizi zingine unajikuta ni broken tu.
Yaani bongo kwa vitu feki tupo vizuri..juzi nimenunua maji feki ya hill,just imagine
ushauri wa chapu chapuMkuu punguza kuparamia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha.
Unajua JD original wewee? Cocktails unazifaham wewe?
Third world dwellers bana?
Fanyeni kazi!