Wapi naweza kupata huduma ya xray ya haraka kwa DSM?

Wapi naweza kupata huduma ya xray ya haraka kwa DSM?

Hospitali, sidhani kama kuna sehemu nyingine zaidi
 
Nenda pale Amana Hospitali, we pitiliza mpaka Radiology room. Onana na wahusika,
Andaa ya kubrashia viatu vyao maana wana tamaa sana. Wanaweza kukupa kwenye simu yako picha yako.
 
Back
Top Bottom