Wapi naweza kupata Business accountancy 2

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,084
Reaction score
6,087
Wakuu naomba msaada wa kukipata kitabu hicho (BUSINESS ACCOUNTANCY 2) kwa anaeuza au anafahamu nitakipata wapi kwa hapa Dar please.
 
Andika maelezo yanayoeleweka, hicho kitabu kimeandikwa na nani?Kinatumika wapi ili wanaokifahamu au walionacho wakupatie msaada.
 
nimekuelewa mkuu,ndo nafatilia hayo maelezo kuyapata kutoka chanzo.
 
Wakuu naomba msaada wa kukipata kitabu hicho (BUSINESS ACCOUNTANCY 2) kwa anaeuza au anafahamu nitakipata wapi kwa hapa Dar please.
Kipo Frank wood edition 11. Sawa sawa na kipya nimekifungia kwenye begi. Taja ulichonacho.
 
Bussines accounting kipo edition ya 13 now kinauzwa maduka ya vitabu haiwezi zidi elfu 50 nenda Posta kwenye wale jamaa walioweka vitabu nje utajionea kinatumiwa na watu wa diploma au degree
 
Frankwood and sangster . Ana 11 na 12 edition kwasasa. Nenda bookshop yoyote dar hukosi
 
Bussines accounting kipo edition ya 13 now kinauzwa maduka ya vitabu haiwezi zidi elfu 50 nenda Posta kwenye wale jamaa walioweka vitabu nje utajionea kinatumiwa na watu wa diploma au degree
poa asante mkuu.
 
Nnacho pia businesses accounting 1 na vingine vingiiii soft copy
 
Back
Top Bottom