Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?
Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.
Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.