kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 409
Location yangu iko iringa mkuuNenda kariakoo mtafute mtu utakaye mwamini akushike mkono.. Kuwa makini maana huko Janja janja secondary school wapo wengi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Shinda online mkuu...haya mambo rahisi tu kupitia Google, YouTube na forums kama hii jf ina wakali wengi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mafunzo yanatolewa na TCRA na Veta pamoja na DIT nafikiri Iringa kwenye mwez wa tano au wa sita watakuwa wamewafikia!! kama fundi simu atopata mafunzo haya atakamatwa endapo ataendelea tengeneza simu mtaaniWakuu nina dhamira ya kuanza kujifunza kutengeneza simu both software and hardware.. Naombeni nijue wapi naweza anza.. Ajira zimekua kero sasa bora nizamie huku..
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea mkuu anataka kujifunza ufundi simu kwa upande gan. Hardware kwa kugoogle tu sio rahisi awe fundi simu labda awe fundi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww umewah pitia hayo mafunzo? If yes tupe feedback hali ikojekuna mafunzo yanatolewa na TCRA na Veta pamoja na DIT nafikiri Iringa kwenye mwez wa tano au wa sita watakuwa wamewafikia!! kama fundi simu atopata mafunzo haya atakamatwa endapo ataendelea tengeneza simu mtaani
DIT introduces phone repair courses
ndio nimewai hudhuria haya mafunzo pale Dar teki.Kwa sasa mafunzo haya yanaendelea Mwanza. ni mazuri kwani yanacover software na hardware. na wanatoa cheti kwa wanaomalizaMkuu ww umewah pitia hayo mafunzo? If yes tupe feedback hali ikoje
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio nimewai hudhuria haya mafunzo pale Dar teki.Kwa sasa mafunzo haya yanaendelea Mwanza. ni mazuri kwani yanacover software na hardware. na wanatoa cheti kwa wanaomaliza
Karo yao imekaaje mkuu maana wakifika eneo fulani wanachukua baadhi ya mafundi wamawafundisha bure kisha wanaobaki sijui inakuwaje sasa.ndio nimewai hudhuria haya mafunzo pale Dar teki.Kwa sasa mafunzo haya yanaendelea Mwanza. ni mazuri kwani yanacover software na hardware. na wanatoa cheti kwa wanaomaliza
Mkuu naomba hizo channel za hardware na software kama hutojaliYes kwa software ni rahis sana kujifunzia online...
Lakin bado kama yupo serious..hata online anaweza ijua hardware vizuri....kuna dogo nilimpa channels za hardware saiz naona anareball mpaka ic [emoji2]..its all about passion mana ukisema hadi mtu basi utasubr sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya muda gani?ndio nimewai hudhuria haya mafunzo pale Dar teki.Kwa sasa mafunzo haya yanaendelea Mwanza. ni mazuri kwani yanacover software na hardware. na wanatoa cheti kwa wanaomaliza
Iko Uganda sehemu gani?una uwezo jichange uende Uganda kuna college ina itwa Makulu ni one of the best technical college EA unajifunza kisha unakua certified na Android, iOS hutojutia mda wako nlimpeleka mdogo wangu sa hivi anapiga hela sana
Sent using Jamii Forums mobile app
6 weeks...kwa sasa yapo yanayotolewa na TCRA pale VETA Kipawa na Pia Dar Tek ambapo TCRA inalipia washiriki Ada 100% so tembelea hizi sehem 2 upate maelezo zaidi,batch ya vijana 400wamemaliza VETA Kipawa last IjumaaNi ya muda gani?
Hao wakufunzi wa DAR ndio watahudumu CHUNYA NA ILEJE?6 weeks...kwa sasa yapo yanayotolewa na TCRA pale VETA Kipawa na Pia Dar Tek ambapo TCRA inalipia washiriki Ada 100% so tembelea hizi sehem 2 upate maelezo zaidi,batch ya vijana 400wamemaliza VETA Kipawa last Ijumaa
Mbeya mjini wameshaanza na wana vijana toka Songea,Songwe n.k! sijajua Chunya na Ileje itakuwaje.Jamaa zangu watafungua Chuo hivi karibuni wakiwa na support ya Iphone,Samsung,Tecno na Nokia.kama unahitaji maelezo zaidi PM me!!.Mimi nna repair mpaka logic boards za Iphone na pia nna repair Chip level( nnatoa any IC na kuirudisha kwenye simu yeyote) so ata kama imezima itawaka,ila nna ishu zingine nafanya za IT so wateja wakiwa wavumilivu nawafanyia.kama unataka mafunzo tuwasiliane....Hao wakufunzi wa DAR ndio watahudumu CHUNYA NA ILEJE?
Mafundi wa RUNGWE NA KYELA nao inabidi wakasomee Mbeya.Mbeya mjini wameshaanza na wana vijana toka Songea,Songwe n.k! sijajua Chunya na Ileje itakuwaje.Jamaa zangu watafungua Chuo hivi karibuni wakiwa na support ya Iphone,Samsung,Tecno na Nokia.kama unahitaji maelezo zaidi PM me!!.Mimi nna repair mpaka logic boards za Iphone na pia nna repair Chip level( nnatoa any IC na kuirudisha kwenye simu yeyote) so ata kama imezima itawaka,ila nna ishu zingine nafanya za IT so wateja wakiwa wavumilivu nawafanyia.kama unataka mafunzo tuwasiliane....