Wasiliana na Frola Lauwo wa Nitetee foundation yuko mwanza. Ukiingia Instagram anapatiakana kwa namba zake.wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.
Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.
Asante
Upo mkoa gani mkuuwakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.
Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.
Asante
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.
Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.
huwa mnalewa ndio mnaingia jf?Gawia moto tu!
Asanteni kwa ushauri. Nipo Dar es salaamWasiliana na Frola Lauwo wa Nitetee foundation yuko mwanza. Ukiingia Instagram anapatiakana kwa namba zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Dar es salaam MkuuUpo mkoa gani mkuu
Ukimpata atakupa utaratibu wa namna ya kumtumia ili zimfikie.Asanteni kwa ushauri. Nipo Dar es salaam
WAWEZA zituma ? Nikupe MAWASILIANO ya msimamizi wa wa watu hao? AU WATAKA ZIGAWA KWA WATU WAISHIO DAR TU MKUU?Nipo Dar es salaam Mkuu
zinaweza kuvaliwa na mabinti pia lakini na wa mama pia, maana mimi, ila si watoto
waweza nipatia tu mawasiliano mkuu ili hata kama kuzisafirisha nione kama inawezekana nijipange.WAWEZA zituma ? Nikupe MAWASILIANO ya msimamizi wa wa watu hao? AU WATAKA ZIGAWA KWA WATU WAISHIO DAR TU MKUU?
Mapepo yako,ndiyo unataka kuwapa na wenzako?wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.