Elongo Junior
Member
- Apr 21, 2018
- 55
- 30
Kibondo, KigomaNaomba kujua wapi naweza pata mafunzo ya graphic design kwa muda mfupi. Mwenye kujua Tafadhari naomba msaada
Karibu nitakufundisha, njoo inbox. Ila uwe unapatikana Dar es Salaam.Naomba kujua wapi naweza pata mafunzo ya graphic design kwa muda mfupi.
Mwenye kujua Tafadhari naomba msaada
Karibu nitakufundisha, njoo inbox. Ila uwe unapatikana Dar es Salaam
Mbali kivipi kaka...?unanikumbusha mbali sana..
Hii inafundishwa shuleni, nenda kajiandikishe?Naomba kujua wapi naweza pata mafunzo ya graphic design kwa muda mfupi.
Mwenye kujua Tafadhari naomba msaada
Mpe topic hints ili ajue pakuanzia mkuuIngia online mkuu, au wewe mpaka upate maelekezo ya mtu physically?
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
1. Youtube (free).Naomba kujua wapi naweza pata mafunzo ya graphic design kwa muda mfupi.
Mwenye kujua Tafadhari naomba msaada