Ak4700 Member Joined May 29, 2018 Posts 18 Reaction score 100 Nov 14, 2023 #1 Wakubwa habari za majukumu. Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma
Wakubwa habari za majukumu. Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma
T Tumbili wa Mjini JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 3,944 Reaction score 8,154 Nov 14, 2023 #2 Ak4700 said: Wakubwa habari za majukumu.. naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana dodoma Click to expand... Rial au baisa?
Ak4700 said: Wakubwa habari za majukumu.. naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana dodoma Click to expand... Rial au baisa?
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Nov 14, 2023 #3 Amesema Baisa kwani hujasoma? asaszone said: Rial au baisa? Click to expand...
T Tumbili wa Mjini JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 3,944 Reaction score 8,154 Nov 14, 2023 #4 Papaa Gx said: Amesema Baisa kwani hujasoma? Click to expand... Unajua maana ya baisa ama unakulupuka tu? S
Papaa Gx said: Amesema Baisa kwani hujasoma? Click to expand... Unajua maana ya baisa ama unakulupuka tu? S
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,543 Reaction score 9,166 Nov 14, 2023 #5 Ak4700 said: Wakubwa habari za majukumu.. naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana dodoma Click to expand... Wasiliana FaizaFoxy atakusaidia Huko Oman ni nyumbani kwao kwahiyo anajua kila kitu.
Ak4700 said: Wakubwa habari za majukumu.. naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana dodoma Click to expand... Wasiliana FaizaFoxy atakusaidia Huko Oman ni nyumbani kwao kwahiyo anajua kila kitu.
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,900 Reaction score 52,033 Nov 14, 2023 #6 Ak4700 said: Wakubwa habari za majukumu. Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma Click to expand... Dodoma sijui ila Dar zipo mojawapo iko karibu na Jengo la Extelcom pale jirani na msikiti mkubwa wa mabohora jina nimesahau huuza na kumunua pesa mbakimbali za middle East Nadhani hata Kariakoo zaweza kuwepo pia
Ak4700 said: Wakubwa habari za majukumu. Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma Click to expand... Dodoma sijui ila Dar zipo mojawapo iko karibu na Jengo la Extelcom pale jirani na msikiti mkubwa wa mabohora jina nimesahau huuza na kumunua pesa mbakimbali za middle East Nadhani hata Kariakoo zaweza kuwepo pia
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Nov 14, 2023 #7 Baisaa Ya Oman Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi? www.jamiiforums.com
Baisaa Ya Oman Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi? www.jamiiforums.com