Malafyale
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 13,813
- 11,126
Nape hawezi kwenda Igunga na akienda ataipunguzia mno kura CCM;Nape is extremely unpopular there na wana Igunga wanamchulia Nape kama kiongozi wa 'gut politics' aliyeanzisha chokochoko kwa RA na maswahiba zake akina Mamvi ingawaje kwa sasa CCM ni kama vile imemuacha Nape bila msaada wowote!Nashukuru kwa kujitokeza watu walianza kuwa na wasiwasi huyu ndugu kapotelea wapi.......hata hivyo nina swali moja, lini utakwenda Igunga maana kwa cheo chako wewe ndiye hasa wa kukiuza chama hasa wakati huu wa uchaguzi, nauliza hivyo kwa sababu nilisikia tetesi kuwa CC imekuzuia wewe na Chiligati kwenda huko ni ya kweli hayo.