Wapi Nape?

kwahiyo ulitaka tuwafagilie watu wa Morogoro ambao wanachaguwa wabunge wahindi na waarabu miaka yote?
Duh!!! nadhani sifa ya ubunge ni utanzania na si uhindi au uafrika (umatumbi) au uarabu hapa naona kuna kaharufu ka ubaguzi kidogo. ''Dhambi ya ubaguzi huwa haishi ni kama kula nyama ya binadamu" - Mwl JK Nyerere
 
Back
Top Bottom