Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Wakuu naombeni msaada wapi nitapata TECNO T1 kwa urahisi nikiwa dar.Mimi ninayo niliinunua nikiwa ZAMBIA.Kwa muda huu niko moro ila nina rafiki yangu yuko dar na anahitaji sana hii simu.Amejaribu maduka kadhaa maeneo ya mwenge,posta na k/koo but kila duka analoenda anaambiwa nowadays TECNO T1 hazipatikani bongo,zinapatikana kiurahisi nchini KENYA.Wanadai kwamba kwa sasa inayopatikana kiurahisi ni TECNO N3 tu.Please kwa yule anayejua naomba maelekezo ya location na bei pia,thanks in advance!