kanga JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 1,025 Reaction score 494 Jul 22, 2018 #1 wajuvi, naomba msaa wa kupata mbegu bora za nguruwe musoma.Nataka kuanzisha mradi was ufugaji was kibiashara.
wajuvi, naomba msaa wa kupata mbegu bora za nguruwe musoma.Nataka kuanzisha mradi was ufugaji was kibiashara.
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,709 Reaction score 4,508 Jul 30, 2019 #2 Mtafute GENTAMYCINE Maana huko ndiyo kwao!
jogoo wa maajabu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 782 Reaction score 1,627 Aug 4, 2019 #3 mkuu ukifika musoma kweny stend ya magali "bweri stand" kwa juu kdogo kama unaenda bweri center kuna rafk anazfuga na anao weng sana pia mbegu ni bombaaaaaa.
mkuu ukifika musoma kweny stend ya magali "bweri stand" kwa juu kdogo kama unaenda bweri center kuna rafk anazfuga na anao weng sana pia mbegu ni bombaaaaaa.