Ngabu anaweza kulia 😂😂😂Sasa Ngabu ndo akutane na mzee wa bucci akiwa na Zaba yake ulomletea😁😁
Hashindwi kusema Ngabu katupia vitu feki Zaba yake ndo OG🏃🏃😄😄
Alhamdulillah kapo poa💋💋Me too darling 😻😻😻
Niko pouwa, kababy kako pouwa??
Nimeota na mimi nna ka kwangu aww 🥰🥰
Ngoja nimtafute mwanaume wa kunipa kababy ka kufanana na mimi 🥰🥰Alhamdulillah kapo poa💋💋
Na wewe ukiwa tayari utapata mzuri kama wewe, Insha'Allah 🙏
Nyie watu mmenichekesha sana aisee! Mpaka visura wangu hapa wanashangaa baba anachekea nini.Ngabu anaweza kulia 😂😂😂
Mana mzee wa bucci ndo atakuwa ametoka mamtoni halafu ngabu ataonekane wa tandale 🤣
Hukosi bhana, yaani wewe uwe single?. Huyo huyo uliye naye mtatoa katoto kazuri🔥🔥Ngoja nimtafute mwanaume wa kunipa kababy ka kufanana na mimi 🥰🥰
Yupi? Kweli niko single mahi huamini? 😂😂😂Hukosi bhana, yaani wewe uwe single?. Huyo huyo uliye naye mtatoa katoto kazuri🔥🔥
Bucci baby 😂😂😂Nyie watu mmenichekesha sana aisee! Mpaka visura wangu hapa wanashangaa baba anachekea nini.
Hapa nilipo nimejaribu kuitamka kwa sauti hiyo “bucci” nimeishia kucheka kama mwehu tu.
Hadi nimetamani kuwa na t-shirt ya bucci. Kama unazo nitunzie moja….nataka kuinunua.
Bucci baby 🤣🤣🤣🤣.
🤣🤣🤣 noumaDogo ushawahi kuona hii @lamomy😀View attachment 3072806View attachment 3072808
🤣🤣!Dogo ushawahi kuona hii @lamomy😀View attachment 3072806View attachment 3072808