imeldaB Member Joined Aug 23, 2019 Posts 39 Reaction score 68 Jan 3, 2024 #1 Habari wanajukwaa! Nina shida na cardboard sheet ambayo ndizo zinatumika kutengeneza mabox. Wapi naweza kupata Kwa Tanzania hii na bei zake zipoje. Kwa yeyote mwenye taarifa tusaidiane. View attachment 2862198
Habari wanajukwaa! Nina shida na cardboard sheet ambayo ndizo zinatumika kutengeneza mabox. Wapi naweza kupata Kwa Tanzania hii na bei zake zipoje. Kwa yeyote mwenye taarifa tusaidiane. View attachment 2862198
MRH28 Member Joined Aug 9, 2014 Posts 10 Reaction score 10 Jan 4, 2024 #2 weka na picha tuone ni cardboard zipi unazungumzia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,713 Reaction score 196,425 Jan 4, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
imeldaB Member Joined Aug 23, 2019 Posts 39 Reaction score 68 Jan 5, 2024 Thread starter #4 Nimeweka bosi
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,280 Reaction score 10,112 Jan 5, 2024 #5 Hawa wanatengeneza jaribu kuuliza kati ya hao nane huwezi kosa msamaria wakukuelekeza wanaponunulia
imeldaB Member Joined Aug 23, 2019 Posts 39 Reaction score 68 Jan 6, 2024 Thread starter #6 Jane Msowoya said: Hawa wanatengeneza jaribu kuuliza kati ya hao nane huwezi kosa msamaria wakukuelekeza wanaponunulia View attachment 2862704 Click to expand... Asante
Jane Msowoya said: Hawa wanatengeneza jaribu kuuliza kati ya hao nane huwezi kosa msamaria wakukuelekeza wanaponunulia View attachment 2862704 Click to expand... Asante
Srebrina JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 972 Reaction score 441 Sep 8, 2024 #7 imeldaB said: Asante Click to expand... Habari, ulifanikiwa kupata?