sasa hivi ipo on sale kwa dola 100 tu toka bei yake ya mwanzo ya dola 150. mtumie mwl akununulie amazon itakuwa around laki 3 mpaka 3 na nusu.
ile durability na battery life hata za samsung zipo hivyo,
hii fire hd 10
-battery lake ni dogo 3830mah
-haingii line
-soc yake sio efficiency
hivyo sidhani kama ni kweli inakaa na chaji.