Wapi napata ac (Air condition)za majumbani

laii

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
857
Reaction score
1,126
Kama kichwa cha habari hapo juu,natarajia kuja Dar es Salaam,nitakaa kama week mbili kwa ajili ya manunuzi yangu,ninahitaji ac kama tatu hivi,ni wapi hapo jijini nitapata air condition nzuri kwa bei nafuu.Asanteni
 
Za HP ngapi?
Mimi sijui kuhusi HP,naomba unieleweshe hapa, mi nahitaji itakayofaa kwa matumizi ya nyumbani,na iwe brand new.idadi tatu
 
Kama kichwa cha habari hapo juu,natarajia kuja Dar es Salaam,nitakaa kama week mbili kwa ajili ya manunuzi yangu,ninahitaji ac kama tatu hivi,ni wapi hapo jijini nitapata air condition nzuri kwa bei nafuu.Asanteni
Niko hapa Katotorwansi Bukoba, njoo nikuuzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…