wapi na kwa bei gani naweza pata htc desire 816

Jerry de Marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
213
Reaction score
41
wadau nimetokea kuvutiwa na hii simu ya htc hasa kuwa RAM yake ni kubwa,kwa walio na uzoefu wa hizi simu zinapatikana kwa bei gan hivi sasa
 
kaka hii ni premium device bei zake ni kama flagship nyengine tu 1m mpaka 1.4m

Shukrani mkuu.

Kuna hii xperia ZR najua naweza kuimudu japo sijajua bei yake, ila inanjchanganya kwenye ukubwa huu 4.55 sijajua ndio ukubwa gani kwa display.

Maana mimi sio mpenzi wa screen kubwa at least iwe 4.3.!
 
4.55 na 4.3 hazitofautiani sana haitakuchukiza. na pia zr ina specs za flagship ni simu nzuri sana.

Sony-Xperia-Z1-Compact

hii ni zr na z1 compact unaweza ona tofauti ya 4.55 na 4.3
 
1395516385049.jpg

Asante sana mkuu ngoja nijipange na ZR.!
 
Back
Top Bottom