Hahahahahaaaaa intention yako ni kuniharibia kwa kwa jamii ya JF, Asnam unajua jana wakati unaning'ata sikio kumbe hiki kibabju kilikua kimeweka antenna zake. Paloma hebu nitajie majina ya wale mabinti wengine tuliokuwa nao, nitumie kwa PM please
hahaha, babu Asprin njoo umuone mwenyekiti wa kwaya anamuita katibu wake wa kwaya Paloma ,
nahamia kwa mzee wa upako walahWallah nAFANYA fitna wiki ijayo utengwe kwenye usharika......
kwani na wewe unataka upate safari za ulaya? Kununua magari? kupata kazi? kupata mchuchu? hahahahhaaa zile shuhuda huwa zinanichosha aiseenahamia kwa mzee wa upako walah
mzee wa upako pia kasema na vizuri vyote vilivyopata kuumbwa na maulana vinapatikana kwake,achilia mbali hayo magari, nyumba au safari za semunge, oor sorry za ulaya,kwani na wewe unataka upate safari za ulaya? Kununua magari? kupata kazi? kupata mchuchu? hahahahhaaa zile shuhuda huwa zinanichosha aisee
Hahaahhaa inalipwa in kind au kwa casha na kama ni kwa cash kuna installment ngapi zinatakiwa? Wakati unapiga hayo mahesabu ukumbuke kuwa unayemfanyia hayo mahesabu ni mtu ambaye ni Mwajiriwa wa Sirikalimpwa uko tayrai kulipa skuulfiiz?!?!?
useme ilinikutajie
Hahaahhaa inalipwa in kind au kwa casha na kama ni kwa cash kuna installment ngapi zinatakiwa? Wakati unapiga hayo mahesabu ukumbuke kuwa unayemfanyia hayo mahesabu ni mtu ambaye ni Mwajiriwa wa Sirikali