Fuata njia hizi:
- Nenda kwenye settings
- Scroll hadi kwenye phone update
- Bofya kwenye "search for updates"
Angalizo:
1. Hakikisha simu yako imejaa chaji, au ichomeke kwenye chaji mda unapofanya update
2. Tumia Wi-Fi wakati wa kufanya update ili kupakua hizo files mpya. Unaweza kupata Wi-Fi kwa kutumia simu ya rafiki yako, unganisha kwa "tethering", hope hiyo itakusaidia...