Misanya bingi (kati) pamoja na aboubakary liongo kwa mzee mvungi sehemu za mbezi samaki. misanya bingi, ambaye umahiri wake katika utangazaji pale itv unakumbukwa hadi leo, hivi sasa ni mhadhiri msaidizi idara ya sosholojia wa chuo kikuu udsm.
Jamani naomba kuuliza, kuna yule jamaa aliyekua ni mtangazaji wa Redio 1 kipindi cha nyuma kwa jina Misanya Bingi hivi kaendaga wapi? kuna mtu anataarifa zake nikazipata? Asanteni.
Wote wawili ni RIP, alitangulia Dena, sasa leo ndio napata habari hii
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.
RIP MISANYA DISMAS BINGI!
P.