Wapi Mama Mingoi????

Wapi Mama Mingoi????

eddiejohnie

Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
7
Reaction score
3
mama mingoi.jpg
...ilikuwa kila rap ya Twanga Pepeta jina lake linatajwa,ila sijui kapotelea wapi siku hizi!!
 


Kesha jichokea kiuno kiguuuuuuuumu
 
hata mimi sielewi. Hivi tuambieni wana Jf kuna yoyote mwenye stori za huyu mama?
 
Alikuwa wa kawaida sana sema tuu alikuwa jasiri kujitokeza hadharani na kufanya hiyo kazi maana kuna vitu vya ukweli vilikuwa mitaani vimetulia.
 
Back
Top Bottom