mwacheni ale bata maana vyombo habari nchini vinampotezea lakini jamaa anakula shavu akirudi shavu mwaa pahala pakupata paundi lakitatu kwa wiki just a huge money uki convert to our natinal currency tunapata nini hapo japo ni contract ya miezi kadhaa. Ni mwenyekiti jopo la wataalam wa uchumi ni hatari