Wapi Le baharia, Mgogo wa mamtoni, Wapi Papaa wa NY?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Le baharia, Mgogo wa mamtoni, Wapi Papaa wa NY?!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Hunter, May 9, 2012.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Chief, uliporudi bongo ulikuwa na swaga za ajabu kweli, uliponda sana wabongo wasiotaka kurudi Tz, pia ukaponda waliobadili uraia, ama kuwa na green card, chief tulijua ni maneno ya mkosaji maana haingii akilini kwamba hukupenda kuwa na cha kijani mkuu! pole bana, naona umekuwa JK part 2 ila wewe umekuwa mtalii wa ndani, pole bana
  Mambo yakiyumba tukumbushe tukuchangie mpiga box mwenzetu usione soo jombaa.
  Kama vipi check na maza akakuombee kazi kwa bakhera nae si ana meli na boti maana ndo taaluma yako

  Pole bana bongo halisi ndo unaiona sasa, your longlife friend kakutosa hata ukuu wa wilaya!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  si wote wasemao bwana bwana wataona ufalme.

  Nilidhani haya maneno yatakuwa Tandale tu, kumbe hata huko mmebobea?

  Halooooo, mwanamme kuvishwa dera ishakuwa suna?
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  Kwani mnamchana hivi kisa kakosa east africa tu. si unajua mida hii kawa mtoto wa mama.
   
 4. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  yuko anafanya mikutano na wabunge vijana wa ccm akiwaeleza wajiunge na jf! Ha ha ha!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  haloooo....supu haina ukoko babu weee....ngozi ya kuku haiwambwi ngoma.....watajijuuuu.....
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  he he he, atajua kwa nini jogoo hana kwako pamoja na kilemba chake usoni.

   
 7. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Hivi haya madongo huwa unajifunzia wapi?.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  majungu mengine wala hayapendezi
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi umesahau ulipokuja home.....ulikuja mtaa gani.....?
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,066
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  ...mh....una uko na maneno mengi kwa kinywa chako eeeh...
  ....unaitwaje...mchafu koge...?
   
Loading...