Mbalizi feedstuff
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 188
- 200
Wakuu ninauliza kama kuna yeyote anaifahamu kampuni au mtu anayetoa huduma ya kuuza vitu ambavyo vinekwisha tengenezwa ili viweze kuchanganywa kwenye vyakula vya mifugo.Vitu ambavyo ninavihitaji ni kama ifuatavyo
Lysine
Methionine
Layer concentrate
Broiler concentrate
Limestone
Unga wa mifupa
Mineral vitamin premix
Damu iliyokaushwa
Dcp na vinginevyo
kila kimoja kiwe kwenye mfuko wa 25kg
Lysine
Methionine
Layer concentrate
Broiler concentrate
Limestone
Unga wa mifupa
Mineral vitamin premix
Damu iliyokaushwa
Dcp na vinginevyo
kila kimoja kiwe kwenye mfuko wa 25kg