Njoo chuga sakina hapaUpo Dar au
Leo shemeji atafaidi sanaView attachment 2464865mdogo mdogo mwaka umeisha huu ngoja tuone hyo 2023 inakujaje
Ubalozi wa Marekani wanapiga sana fataki. Planet Subaru, kuna tofauti kati ya baruti na fataki.Kama upo dar mkuu, karibu hapa maeneo ya Oysterbay. Ni jirani na kituo cha polisi cha oysterbay. Unaweza ukaja na baruti zako hapa na wewe upige mkuu. Wahi!
Nimemkaribisha kwa ajili ya zote mkuuUbalozi wa Marekani wanapiga sana fataki. Planet Subaru, kuna tofauti kati ya baruti na fataki.
Ubalozi wa Marekani wanapiga sana fataki. Planet Subaru, kuna tofauti kati ya baruti na fatakiKama upo dar mkuu, karibu hapa maeneo ya Oysterbay. Ni jirani na kituo cha polisi cha oysterbay. Unaweza ukaja na baruti zako hapa na wewe upige mkuu. Wahi!
Baruti hutumika kupasua miamba. Sasa hapo kituoni unataka upasue nini?Nimemkaribisha kwa ajili ya zote mkuu
Acha kuwaza ishu hzo mda woteeeeLeo shemeji atafaidi sana
Haha! Kinywaji pendwa kinatumika kuandaa mazingiraAcha kuwaza ishu hzo mda woteeee
Atawaeleza manjagu wakitoka kuja kucheck kunani๐Ubalozi wa Marekani wanapiga sana fataki. Planet Subaru, kuna tofauti kati ya baruti na fataki
Baruti hutumika kupasua miamba. Sasa hapo kituoni unataka upasue nini?
Haya bwanaHaha! Kinywaji pendwa kinatumika kuandaa mazingira