Nestor enos
Member
- Sep 15, 2016
- 5
- 0
Naomba kuuliza, kati ya biashara inayoendeshwa kwa mfumo wa kampuni na iliyo nje ya mfumo wa kampuni, ni ipo yenye unafuu wa kodi na Kivipi?
Kwa wamu hii hakuna yenye unafuu maana biashara ni ngumu.Unafuu wa kodi inategemea aina ya biashara na sio mfumo.Mfumo ni kwa ajili ya kujilinda tu.Limited LiabilityNaomba kuuliza, kati ya biashara inayoendeshwa kwa mfumo wa kampuni na iliyo nje ya mfumo wa kampuni, ni ipo yenye unafuu wa kodi na Kivipi?
Kwa wamu hii hakuna yenye unafuu maana biashara ni ngumu.Unafuu wa kodi inategemea aina ya biashara na sio mfumo.Mfumo ni kwa ajili ya kujilinda tu.Limited Liability