the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
i2thedi clockon pale wauza viatu ndo wapo sasa ntamuuliza nani?atleast kama una contacts za mtu anaeweza kunidirect nitashkuru sana mkuu nisaidie bana maujuzi yangu yanazidi kuyoyoma tu
mkuu hupajui eneo lingine labda maana mi natokea huku juu kabisa sekei!Fika clockon wanapouza viatu kuna master yuko hapo ulzia ukimpata atakupa info na sehemu za kufanyia mambo yako hayo
ulishapata mkuu?mkuu hupajui eneo lingine labda maana mi natokea huku juu kabisa sekei!
ulishapata mkuugood babjohn bahati mbaya nipo Arusha,dah ningekuja mkuu asante sana lakini
za huko hapana aisee😉Nasikia kwenye baadhi ya nyumba za ibada...jaribu kupeleleza sina uhakika sana lakini lisemwalo yawezekana lipo...!
Huwa wanafanya bei gani mkuu?Aikido ipo kisutu. Jumanne na Alhamic. Saa moja na nusu hadi saa mbili na nusu jioni