Anikajema JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 647 Reaction score 566 Jul 31, 2014 #1 Hi, Members, Nahitaji shule nzuri inayofundsha lugha , ila iwe arusha, I wanna learn to speak English, en French, ..
Hi, Members, Nahitaji shule nzuri inayofundsha lugha , ila iwe arusha, I wanna learn to speak English, en French, ..
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Jul 31, 2014 #2 Anikajema said: jaman naomben mwenye kujua shule ya englsh corser arusha aniambie afu yenye ada nzur. Click to expand... Hivi wwe kijana upo timamu kweli! Au ndo kusema una hangover za pilau ya Eid?
Anikajema said: jaman naomben mwenye kujua shule ya englsh corser arusha aniambie afu yenye ada nzur. Click to expand... Hivi wwe kijana upo timamu kweli! Au ndo kusema una hangover za pilau ya Eid?
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Aug 1, 2014 #3 Wahi haraka sana tafuta mwl, ila unajitahidi mwl wako mwambie kufundisha aanze na spellings..
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,154 Aug 1, 2014 #4 Comment chache hivi mmenivunja mbavu... Zikiongezeka 10 si nitakufa???
Chungu cha bibi JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 525 Reaction score 166 Aug 1, 2014 #5 Anikajema said: jaman naomben mwenye kujua shule ya englsh corser arusha aniambie afu yenye ada nzur. Click to expand... Kweli huyu anaitaji shule aisee corser to course???
Anikajema said: jaman naomben mwenye kujua shule ya englsh corser arusha aniambie afu yenye ada nzur. Click to expand... Kweli huyu anaitaji shule aisee corser to course???
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Aug 1, 2014 #6 Chungu cha bibi said: Kweli huyu anaitaji shule aisee corser to course??? Click to expand... Ina maana na hiyo red hapo chini hukuiona??? Anikajema said: jaman naomben mwenye kujua shule ya englsh corser arusha aniambie afu yenye ada nzur. Click to expand...
Chungu cha bibi said: Kweli huyu anaitaji shule aisee corser to course??? Click to expand... Ina maana na hiyo red hapo chini hukuiona??? Anikajema said: jaman naomben mwenye kujua shule ya englsh corser arusha aniambie afu yenye ada nzur. Click to expand...
King Innocent JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 1,074 Reaction score 815 Aug 1, 2014 #7 Fika mtaa wa kaloleni karibu na kituo cha polisi , ukifka hapo kituoni muulize mtu yeyote wapi wanafundisha lugha utaelekezwa.
Fika mtaa wa kaloleni karibu na kituo cha polisi , ukifka hapo kituoni muulize mtu yeyote wapi wanafundisha lugha utaelekezwa.
Anikajema JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 647 Reaction score 566 Aug 2, 2014 Thread starter #8 ntaanza na spelling kwel mana nimerudia darasa la pili aisee.
Anikajema JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 647 Reaction score 566 Aug 2, 2014 Thread starter #9 am not fraid coz i like englsh languge....i,ve peace coz nimegundua amna binadam anaeweza kumsaidia mwenzake mtaishia kuchekana
am not fraid coz i like englsh languge....i,ve peace coz nimegundua amna binadam anaeweza kumsaidia mwenzake mtaishia kuchekana