Wapi kuna duka la Huawei Tanzania ?

gsanga

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Msaada wapi kuna duka la HUAWEI TANZANIA yani kama SAMSUNG waliyonayo worldwide
 
Yapo mengi tu mbona? Na wana na hata huduma za after sales
 
Hamjajibu bado! Kauliza wapi ? Kama kariakoo sema! Kama nyakato sema! Kama boma road sema! Kama Nyerere square sema! Kama mnara wa saa sema! Kama Darajani sema! Kama Buzurugwa sema! Kama Azimio sema !
 
sidhan kama bongo kuna official dealer.... ninachojua hawei wana office hapa bongo pale golden jubilee tower kwa msaada wa product wanatoa ila kuuza product pale cjui!!!! ile office wanadeal zaid na vifaa vya minara ya cim ya zantel, voda na tigo
 
uko right.. AFAIK Huawei waliingia mkataba na Tigo Tanzania ndio wawe kama wasambazi wakuu wa hizi products zao. Ndio maana Tigo wana products zote za Huawei
 
sidhan kama bongo kuna official dealer.... ninachojua hawei wana office hapa bongo pale golden jubilee tower kwa msaada wa product wanatoa ila kuuza product pale cjui!!!! ile office wanadeal zaid na vifaa vya minara ya cim ya zantel, voda na tigo

zaidi ya asilimia 70% ya mapato ya huawei yanatokana na tawi lao la kuuza network infrastructure, marketshare wise jamaa ni wapili nyuma ya ericson. simu siku hizi hazina faida hadi uwe samsung au apple ndio maana huwezi kukuta official huawei care kwa ajili ya simu tanzania, badala yake wanaingia tu mkataba na kampuni nyengine kama tigo.
 
nenda ofisi za tigo wao wanauza simu za huawei nzuri sana

au muulize mathematics yeye atakuuzia kama anazo za aina hizo
Msaada wapi kuna duka la HUAWEI TANZANIA yani kama SAMSUNG waliyonayo worldwide
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa kama hii naamini wanazo ofisi bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…