Wapi kuna chimbo la viroba vya kuhifadhi nafaka

mfuga kuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
851
Reaction score
667
Wana bodi habari, kama mjuavyo tuko mbioni kuelekea ktk mavuno ya nafaka mbalimbali, mwaka jana nilijaribu kuhifadhi mahindi ktk viroba vya kunga njaa! ilikua ni viroba viwili tu kwa ajili ya chakula cha familia, mahindi yale nimetafungua mwaka huu na huwezi amini yapo vzr hayajashambuliwa na wadudu. Baada ya matokeo hayo nimepata wazo la kuhifadhi kwa uwingi zaidi ili nije nipige hela baadae.

Hoja yangu ni kutaka kujua lilipo chimbo la viroba hv vya kinga njaa ili kusudi nivihifadhi mapema.

Ahsanteni.
 
Ninajua chimbo la maturubai bei ya jumla ukiyahitaji niambie
 
Wewe hupo mkoa na wilaya gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…