Habari
Nimekuwa nikifuatilia sana Churchill Show ya Kenya ambayo kiukweli huwa napunguza sana stress hasa akisimama Professor Hamo.
Sasa nipo Dar hapa najiuliza ni wapi kumbi za Comedy ambazo ni Stand up comedy ili nikashuhudie nipunguze stress. Kama zipo show huwa siku gani katika wiki. Asanteni.

pale Millenium Towers kuna jamaa anaitwa Coy Mzungu, anakua na some other comedians, unaweza pitia insta account ya CHEKA TU utapata updates za show zao zote au ukawacheki youtube kwa jina la CHEKA TU.

mpoki angekuwa anafanya stand up comedy sawa
ila wengine wananipa tabu kunichekesha
bora hata kumsikiliza jiwe unaweza ukacheka ila sio hawa stand up comedy