Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
WanaJF,
Ukweli ni kuwa sijamuona huyu kamanda kwa muda mrefu sana hata pale panapotokea mambo ya muhimu katika siasa zetu. Siku zote nimeona Mh. Mbatia akitoa matamko pekee yake pale bungeni. Sijaona ameandamana na makamanda wenzake kwenye issue ya kutoka nje ya bunge wakati wanamkimbia Naibu Spika, Tulia.
Sasa nauliza huyu kamanda wa gia za angani aenda wapi? Au hashiriki kazi za bunge siku hizi?