Hivi unashindwa kuwa na ubinadamu hata chembe? ipo siku utayajibu haya kwa muumba wako, na kifo hakina upendeleo wewe ni Marehemu mtalajiwa Mungu ndio anajuwa utakufa kwa style ipi. endeleza kejeri nyuma ya keyboard siku yako itafika tu.
Kila nafsi itaonja umauti na kuna Judgement day, na kila mtu atavuna alichopanda hapa Duniani, Dr Slaa na wewe wote kila mtu atahukumiwa kwa yake, wewe endelea kukejeri roho za wapendwa wa watu zilizokatizwa maisha yao.Hapa sijengi kejeli, kuna hoja nzito ndani ya hayo maelezo imejificha, na siwezi kuiweka wazi kwani najua impact yake, lakini kwa watu makini wataelewa ni hoja gani ipo ndani ya huu uzi.
Hapa sijengi kejeli, kuna hoja nzito ndani ya hayo maelezo imejificha, na siwezi kuiweka wazi kwani najua impact yake, lakini kwa watu makini wataelewa ni hoja gani ipo ndani ya huu uzi.
Mungu na akulipe kwa furaha uliyoonyesha kwa vifo vya watu wasio na hatia.
Umekosa ubinadamu na sasa umegeuka kuwa mnyama.
Hapa sijengi kejeli, kuna hoja nzito ndani ya hayo maelezo imejificha, na siwezi kuiweka wazi kwani najua impact yake, lakini kwa watu makini wataelewa ni hoja gani ipo ndani ya huu uzi.
Matukio ya kwenye mikutano yake anapanga yeye na kundi lake la waharifu.Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.
Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.
Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.
Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?