karibu na CRDB Bank
Mkuu CRDB tena au unamaanisha NBC,nijuavyo mimi ipo pembezoni mwa Nyerere road upande wa kushoto kama unaenda airport,ukitoka ccm makao makuu then TRA,uktoka hapo unaingia NBC na baada ya hapo ndo Ofisi ya mkuu wa mkoa.
mkuu kuuliza c ujinga ona watu wenye busara zao hapo juu wamejibu vzur,kwan wao ni washamba? kusaidiana kwe haya mambo ni kawaida....tafuta ramani ya Dodoma wewe, una bahati Dodoma hakuna wa"father"ishaji utapotea, hapa mjini!