Wapi ile NEC nyingine ya CCM?

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Napenda kuuliza mbona hawa wazee(Makame and Kiravo) wako kimya sana sasa hivi? Au wanaona aibu kwa kuipa CCM ushindi wa kitandani?

Hata kutupa post-election feedback and plans forward?

Last sight of them......

Election-results-announced-Tanzania_499486.jpg
 
Back
Top Bottom