Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Apr 23, 2012 #21 Senetor nakukubali sana ulivyokuwa huna chuki na mkali wetu!huo ndo ujanja sasa!big up jembe!ilale Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Apr 23, 2012 #22 Yaani watu kwa kufuatilia vichomi sijui itaisha lini.Ila pongezi zake nasikia mjamzito sasa hivi au nisije nikawa namfananisha si yule wa tusker
Yaani watu kwa kufuatilia vichomi sijui itaisha lini.Ila pongezi zake nasikia mjamzito sasa hivi au nisije nikawa namfananisha si yule wa tusker
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Apr 23, 2012 #23 Mzinga said: Yaani watu kwa kufuatilia vichomi sijui itaisha lini.Ila pongezi zake nasikia mjamzito sasa hivi au nisije nikawa namfananisha si yule wa tusker Click to expand... Haters!big up msela nigga muhuni!!umetisha sana na macomment yako
Mzinga said: Yaani watu kwa kufuatilia vichomi sijui itaisha lini.Ila pongezi zake nasikia mjamzito sasa hivi au nisije nikawa namfananisha si yule wa tusker Click to expand... Haters!big up msela nigga muhuni!!umetisha sana na macomment yako
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Apr 23, 2012 Thread starter #24 Muuza Sura said: Senetor nakukubali sana ulivyokuwa huna chuki na mkali wetu!huo ndo ujanja sasa!big up jembe!ilale Click to expand... mtu kama anaweza kwa nin tusimsifie bana?pamoja sana mkuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Muuza Sura said: Senetor nakukubali sana ulivyokuwa huna chuki na mkali wetu!huo ndo ujanja sasa!big up jembe!ilale Click to expand... mtu kama anaweza kwa nin tusimsifie bana?pamoja sana mkuu.
V Visionmark Senior Member Joined Nov 24, 2011 Posts 158 Reaction score 28 Apr 24, 2012 #25 Senetor said: dah!huyu jamaa me namkubali sana,japo wabongo wengi wamekua haters kwake. Click to expand... Yaaani kwa sababu tu wewe unamkubali basi unataka uwalazimishe na watu wengine wamkubali?! Haya bhana jaribu!
Senetor said: dah!huyu jamaa me namkubali sana,japo wabongo wengi wamekua haters kwake. Click to expand... Yaaani kwa sababu tu wewe unamkubali basi unataka uwalazimishe na watu wengine wamkubali?! Haya bhana jaribu!
Judi wa Kishua JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 1,241 Reaction score 1,472 Apr 24, 2012 #26 Jamani wa2 wanachukia vibaya... ivi inakuwaje unamchukia mtu kias icho ambae akupunguzii kitu wala kukuongezea kitu...
Jamani wa2 wanachukia vibaya... ivi inakuwaje unamchukia mtu kias icho ambae akupunguzii kitu wala kukuongezea kitu...
M Ms. Thandiswa Member Joined Apr 10, 2012 Posts 86 Reaction score 9 Apr 24, 2012 #27 Ana mashauzi sn ka ya mtoto wa kike anayetafuta bwana mi ananiboa kiukweli,hanivutii na anatafuta umaarufu kinguvu sn na bac ngoja niishie hapa maana
Ana mashauzi sn ka ya mtoto wa kike anayetafuta bwana mi ananiboa kiukweli,hanivutii na anatafuta umaarufu kinguvu sn na bac ngoja niishie hapa maana
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Apr 25, 2012 #28 Judi wa Kishua said: Jamani wa2 wanachukia vibaya... ivi inakuwaje unamchukia mtu kias icho ambae akupunguzii kitu wala kukuongezea kitu... Click to expand... Hawamchukii wanatamani kuwa kama yeye!
Judi wa Kishua said: Jamani wa2 wanachukia vibaya... ivi inakuwaje unamchukia mtu kias icho ambae akupunguzii kitu wala kukuongezea kitu... Click to expand... Hawamchukii wanatamani kuwa kama yeye!
MVAA GWANDA Member Joined Nov 12, 2010 Posts 35 Reaction score 6 May 25, 2012 #29 Pretty Huge Dude! Kumbe lisemwalo lipo. Naomba nisipate BAN kwa kufukunyua hii thread ilipofichwa! Wenzangu pia epukeni maneno makali kabla jeiefu haijatoweka hewani tena.
Pretty Huge Dude! Kumbe lisemwalo lipo. Naomba nisipate BAN kwa kufukunyua hii thread ilipofichwa! Wenzangu pia epukeni maneno makali kabla jeiefu haijatoweka hewani tena.
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 May 25, 2012 #30 Handsome la jiji,linakacheza kale kamchezo kao...Referee Obama na Cameroon!